Ziara ya Katibu Mkuu wa wizara ya Maji na umwagiliaji katika Mtambo wa uzalishaji Maji wa Ruvu Juu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitilia Mkumbo akipata maelezo kutoka kwa mkandarasi alipotembelea mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu

Afisa Mtendaji mkuu Mhandisi Cyprian luhemeja akizungumza na wamiliki wa magari makubwa ya kusambaza Maji safi

Afisa mtendaji mkuu wa shirika la Maji safi na Maji taka Dar es Salaam (DAWASCO) Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wamiliki wa Magari Makubwa ya kusambaza Maji safi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa zoezi Maalum la Usajili wa Magari hayo (Maboza) , Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge alipotembelea banda la DAWASCO katika maonesho ya biashara Sabasaba

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata maelezo juu ya utibuji wa Maji kutoka kwa Afisa wa vipimo vya viwango vya Maji, Bw Sinza Mongella, alipotembelea banda la maonesho la Dawasco katika maonyesho ya Kimataifa ya kibiashara yaliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es salaam, kulia pembeni ni Afisa mtendaji Mkuu wa shirika Mhandisi Cyprian Luhemeja

Mfanyakazi bora wa Shirika la Majisafi na Majitaka (DAWASCO) Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi kutoka kwa Raisi Dr. John Pombe Magufuli

Afisa mtendaji mkuu wa shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco), Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya Sh. Milioni 3.5 kutoka kwa Rais John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa mwaka kitaifa mjini Dodoma

Wakazi wa kata ya Manzese Mpakani mtaa wa mchafu wakichota Majisafi katika kizimba kilichojengwa kwa hisani ya DAWASCO

Wakazi wa kata ya Manzese Mpakani mtaa wa mchafu wakichota Majisafi kwenye moja ya Kizimba cha Majisafi kilichojengwa na Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO) katika kutatua kero ya Maji kwenye eneo hilo.

Ziara ya Mkurugenzi wa World bank Tanzania katika ofisi za DAWASCO na DAWASA

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge akifungua kikao cha pamoja na wawikilishi wa benki ya dunia,Wizara ya Maji ,Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (Dawasco ) na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (Dawasa) kilichohusu jinsi ya kutatua changamoto za usambaza Maji kwenye jiji la Dar es Salaam yakiwamo mivujo na miundombinu chavu , kilichofanyika makao makuu ya Dawasco jijini Dar es Salaam.

Karibu katika Tovuti mpya ya DAWASCO >>> Lipa ankara yako sasa kupitia Tigopesa, Mpesa, EasyPesa,Air
ARROW ARROW ARROW ARROW ARROW
Innovations > Projects > Services > Brochures > Programs >
           ARROW MGAO WA MAJI            ARROW DOKEZO NA USHAURI            ARROW ENEO LA HUDUMA            ARROW MALALAMIKO
           ARROW DIRA ZA MAJI            ARROW HUDUMA YA MAJI            ARROW MATANGAZO            ARROW MASWALI
           ARROW USOMAJI DIRA            ARROW HUDUMA YA MAJITAKA            ARROW KALENDA            ARROW TOVUTI
           ARROW MAOMBI MAPYA            ARROW MKATABA WA HUDUMA            ARROW VIPEPERUSHI            ARROW MAWASILIANO
For enquiries , complaints and emergencies please call 0800110064 (toll free) DAWASCO Call Center unit.

Today's Visitors:248